Mama kwanza nilipokwona na
Ulisema ati just a friend now
Wala kwanza huna mpango naye
Alitaka tu mkaspend a ride

Na na ukamkatalia, ukamkimbia
Baki anaumia na eti analia
Tena kwa hisia
Ati kisa kuwa na we

Maneno mengi kunidanganya
Nikiwa sipo kumbe mnafanya
Nimeshow love tena kwa sana
Nitakosea nikikuita player

Sitokosea nikikuita player mbona we
(Come on, come on, come on)

Sasa si wala we ungesema toka mwanzo
Kama sipo hata kwenye yako mawazo
Kisa nini ya mapenzi alizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye hizo zimekuvutia
Hizo ambazo zimekuvutia wewe
Kwenye hizo zimekuvutia
Zimekuvutia

Ati bora ningesema toka mwanzo
Kama upo hata kwenye yako mawazo
Kisa nilie mapendo nilizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Hizo zimekuvutia
Zimekuvutia
Hizo zimekuvutia mimi
Zimekuvutia

Usinizuge kwa makiss kibao
Ati “Diamond nakupenda sana”
Nikiwa sipo unanipiga bao
Kwa mamisemo kwa
Utadharau namba hii uchechema
Sasa vipi? Vipi? Vipi?
Sasa vipi? Vipi? Vipi? weee

Hamna noma nitaride nao
Bora mtakoma bonge la mshangao
Aya wewe sawa

Maneno kibao coz unipenda alrigt
Na naomba mshangao zaidi ya kima alright
Unasema hutaki niona na yeye
He is just a friend baby naomba nielewe

Ni wangapi nimeponda nao
Wala kwanza sina mpango nao
Ukiniona nao unasema maboy
Sasa nitakuwa na wangapi
Wangapi mimi?

Sasa si wala we ungesema toka mwanzo
Kama sipo hata kwenye yako mawazo
Kisa nini ya mapenzi alizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye hizo zimekuvutia
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye hizo zimekuvutia wewe
Zimekuvutia

Ati bora ningesema toka mwanzo
Kama upo hata kwenye yako mawazo
Kisa nilie mapendo nilizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Hizo zimekuvutia
Zimekuvutia
Hizo zimekuvutia mimi
Zimekuvutia

[Romy Jones]
Baby girl najua unanipenda
But sometime kwanini unenitenda
Unaniumiza roho sifuati ya hao

Nachill nafeel nahisi sina deal
Na kama unakuja njoo tena for real ma
Nakuja natoka nakuacha nacheka
Ukiniona unadeka na kumbe nikiondoka unateta

Baby I never want you go go
Like crazy, nabaki sema no no

Share: Toka Mwanzo Lyrics by Diamond Platnumz

ūüď£ Do you find¬†Musiclyfer useful? Follow us on Facebook(@musiclyfer) and stay updated.