By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Musiclyfer
Aa
  • Music
  • Lyrics
  • News
  • Biography
  • Trash
  • Upload
Reading: Ongeza Lyrics by Diamond Platnumz
Share
Aa
Musiclyfer
  • Music
  • Lyrics
  • News
  • Biography
  • Trash
  • Upload
Follow US
© 2023 Musiclyfer. All Rights Reserved.
Lyrics

Ongeza Lyrics by Diamond Platnumz

By lyfer Published August 20, 2021
Share

Mmmmh….
(Ayo Lizer)

Mi kwako sikuingia miguu
Mikono hadi kichwa
Kiufupi mazima
Nikiamini wa kufa kuzikana

Yaani hoi sio nafuu
Mututi kabisa hata mashaka sina
Ukiamini
Utatengwa na Maulana

Mvumilivu hula mbivu
Nimengoja mpaka zikaoza
Naambulia maumivu
Ningali sina wa kunipoza

Sijui yangu stahimilivu
Kunyenyekea waniponza
Napambania utulivu
Mwezangu chuki unaikoza

Sikukufuta tu machozi
Ulipolia nililia na wewe
Sasa mbona wanilipa majonzi
Yaani stress mapombe mi nilewe

We ndo wangu Yesu Mkombozi
Sa mbona Petro unaniacha mwenyewe
Nikose usingizi na njozi
Ndo ufurahi okay sawa

Si unataka nitukanwe
Ongeza ongeza bado
Nidhalilike
Ongeza ongeza bado

Nikose pa kuificha sura
Ongeza ongeza bado
Marafiki wanicheke, waning’onge ada
Ongeza ongeza bado

Mmmh kisichokuua hukukomaza
Ati ikiwa sikani huo msemo nakataa
Maana jua linapoangaza na sina afadhali
Mi kwangu ni mabalaa

Oooh najitahidi kumsinga mwali
Ila somo ananikataa
Oooh penzi letu si la kibatari
Anayamwaga mafuta taa

Kutwa ni vurugu ndani
Purukushani hapakaliki
Roho inaniuma yaani
Kwanini sa tunagombana sweetie

Oooh njema gani
Niambie labda nitende kipi? (Aah)
Hata pa kucheka hunnie
Ati utani unapanic

Naelewa riziki mafungu saba
Na la kwangu sita
Naelewa sikutoshi labda
Kukuridhisha

Sikukufuta tu machozi
Ulipolia nililia na wewe
Sasa mbona wanilipa majonzi
Yaani stress mapombe mi nilewe

We ndo wangu Yesu Mkombozi
Sa mbona Petro unaniacha mwenyewe
Nikose usingizi na njozi
Ndo ufurahi okay sawa

Si unataka nitukanwe
Ongeza ongeza bado
Nidhalilike
Ongeza ongeza bado

Nikose pa kuificha sura
Ongeza ongeza bado
Ndugu jamaa wanicheke, waning’onge ada
Ongeza ongeza bado

Aah nikose pa kuificha sura
Waning’onge ada

(Wasafi)

Share: Ongeza Lyrics by Diamond Platnumz

📣 Do you find Musiclyfer useful? Follow us on Facebook(@musiclyfer) and stay updated.

TAGGED: Diamond Platnumz lyrics
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article Haunisumbui Lyrics by Diamond Platnumz
Next Article Simba Lyrics by Diamond Platnumz
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Zulitums - Bulamu
Zulitums – Bulamu
Music
Nalongo - David Lutalo (Mp3 Download)
Nalongo – David Lutalo
Music
Nalumansi by Bobi Wine
Nalumansi by Bobi Wine
Music
Rayvanny – One Day Yes
Rayvanny – One Day Yes
Music
Nandibadde Bwomu - Irene Namatovu & Geoffrey Lutaaya
Nandibadde Bwomu – Irene Namatovu & Geoffrey Lutaaya
Music
Bikula by Cosign Yenze
Bikula by Cosign Yenze
Music

Top Lyrics

Nalumansi Lyrics by Bobi Wine 2023
Nalumansi Lyrics by Bobi Wine 2023
Lyrics
Vako - Alien skin ft Yung Mulo
Vako Lyrics – Alien Skin ft. Yung Mulo
Lyrics
Did I die - Hatim and Dokey
Did I Die Remix Lyrics – Hatim & Dokey ft. Sheebah, Feffe Bussi, Vampino & D’mario
Lyrics
Kalifah AgaNaga
Ekitangaza Lyrics by Kalifah AgaNaga
Lyrics
Ndugga Bamweyana – Ani Mutuufu Lyrics
Ndugga Bamweyana – Ani Mutuufu Lyrics
Lyrics

You Might Also Like

Nalumansi Lyrics by Bobi Wine 2023
Lyrics

Nalumansi Lyrics by Bobi Wine 2023

March 23, 2023
Vako - Alien skin ft Yung Mulo
Lyrics

Vako Lyrics – Alien Skin ft. Yung Mulo

March 21, 2023
Did I die - Hatim and Dokey
Lyrics

Did I Die Remix Lyrics – Hatim & Dokey ft. Sheebah, Feffe Bussi, Vampino & D’mario

March 21, 2023
Kalifah AgaNaga
Lyrics

Ekitangaza Lyrics by Kalifah AgaNaga

March 20, 2023
Musiclyfer
Follow US

© 2023 Musiclyfer. All Rights Reserved.

  • Cookies Policy
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Tip Us
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?