• Write For Us
  • Cookies Policy
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Advertise with Us
  • Tips
Saturday, June 25, 2022
  • Login
Lyfer
  • Music
  • Lyrics
  • Videos
  • Blog
  • Tech
No Result
View All Result
No Result
View All Result
  • Music
  • Lyrics
  • Videos
  • Blog
  • Tech
Musiclyfer
No Result
View All Result

Haunisumbui Lyrics by Diamond Platnumz

lyfer by lyfer
May 5, 2022
in Lyrics
Reading Time: 2 mins read
0

(Ayolizer)

And Also

Kivumbi King – Salute

Fik Fameica – Lifist Lyrics

Si kokoko si kandambili
Yaani vyote havikupendezi
Mwana ngoko usio nawiri
Tope bin utelezi

Utaishia kututabiri
Tubomoke inasonga miezi
Mola ameshatakabiri
Usijichoshe halivunjiki penzi

Ona umekosa nuru
Umekosa bahati huna
Unaitwa kunguru
Ukifika wananuna

Ndo ndo ndo mwana chururu
Asiye mbuzi wataka chuna
Mengine nisikufuru mmmh

Hazikukai maskara
Wala make up zina kushuka
Uso ume ku parara
Mwili shock up zimetenguka

Uso sauti ya stara
Kwa kudeka una wehuka
Jibwa koko la Mbagala
Linabweka na kubwetuka wala

Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala
Wala haunisumbui wala

Na hizo post mara kubebana
Mara ati mnabusu mtamaliza bando
Unaowatuma ku nitukana
Siogopi mashushu me wala michambo

Kutwa kwa ma-page fake
Kama Lokole linahusu
Mkwe hakutaki eti
Mwenzangu pole mbona kuntu

Vi message kujitumisha
Kwa ndugu zangu marufuku
Nyota imekufubika
Usi-force umaarufu

Upepo wa kisulisuli
Unakuchukuwa na nuksali
Tanga lipulipuli
Wanakununua kwa mizani

Kwangu mpambe shughuli
Najiashua burudani
Na toto nzuri nzuri
Nimelitua tuli ndani ii

Ona umekosa nuru
Umekosa bahati huna
Unaitwa kunguru
Ukifika wananuna

Ndo ndo ndo mwana chururu
Asiye mbuzi wataka chuna
Mengine nisi kufuru
Usiye wa shaba wala chuma

Wala haunisumbui wala (Hamnikomeshi)
Wala haunisumbui wala (Mjipost ma Instagram)
Wala haunisumbui wala (Hamniteteshi)
Wala haunisumbui wala (Wala)

(Wasafi)

Share: Haunisumbui Lyrics by Diamond Platnumz

Tags: Diamond Platnumz lyrics
ShareTweetSend
Previous Post

Toka Mwanzo Lyrics by Diamond Platnumz

Next Post

Ongeza Lyrics by Diamond Platnumz

YOU MAY LIKE

Lifist by Fik Fameica

Fik Fameica – Lifist Lyrics

by lyfer
17 hours ago
0

Lifist Lyrics by Fik Fameica IntroOh my God Bomba make my beatIn my city, party is a must...

Nkaaba Mpola Lyrics by Dr. Tee

Nkaaba Mpola Lyrics by Dr. Tee

by lyfer
19 hours ago
0

Dr. Tee - Mpola Lyrics Hmmmm, hmmmmAaaah, aaahHmmmmm, hmmmmmKann Records Amaziga g’omunaku kutiiriikaWabeerawo afunyemu kw’olwoEnnaku yange okubulwa ssenteYo...

Ready - John Blaq ft Bwiza

Ready Lyrics by Bwiza ft John Blaq

by lyfer
2 days ago
0

Ready Lyrics - Bwiza ft John Blaq IntroAya basRonnie (Bwiza)HeyHave you ever been in sorrow?Nzineza ko igisubizo ari...

Ready Lyrics by Bwiza

Ready Lyrics by Bwiza

by lyfer
2 days ago
0

Bwiza - Ready Lyrics HeyHave you ever been in sorrow?Nzineza ko igisubizo ari yegoFrom now on ubybagirweI had...

Next Post

Ongeza Lyrics by Diamond Platnumz

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Kivumbi King - Salute

Kivumbi King – Salute

June 25, 2022
Lifist by Fik Fameica

Lifist by Fik Fameica

June 24, 2022
Stream and download One Bite by Vinka Mp3

Vinka – One Bite

June 24, 2022
Image Credits: Rosdiana Ciaravolo / Getty Images

Khaby Lame dethrones Charlie D’Amelio as the most-followed TikTok creator

June 24, 2022
Nkufeelinga by Ykee Benda ft Chembazz

Nkufeelinga by Ykee Benda ft Chembazz

June 23, 2022
Castro - Bone shaker (Sweetie darling)

Castro – Bone shaker (Sweetie darling)

June 22, 2022
Load More

Follow us

Follow us on Twitter

About

Musiclyfer is a media platform used to promote and deliver Ugandan music, videos and music content. Providing content from over 30 African countries, it is one of the most visited music websites in Uganda.

Recent Posts

  • Kivumbi King – Salute
  • Fik Fameica – Lifist Lyrics

Categories

  • Blog
  • Kenya
  • Lyrics
  • Music
  • News
  • Profiles
  • Relationships
  • Rwanda
  • Trash
  • Videos

Socials

  • Write For Us
  • Cookies Policy
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Advertise with Us
  • Tips

© 2022 Musiclyfer, All Rights Reserved.

No Result
View All Result
  • Music
  • Lyrics
  • Videos
  • Blog
  • Tech

© 2022 Musiclyfer, All Rights Reserved.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In