Billnass Feat Jay Melody - Puuh

Puuh Lyrics by Billnass Feat Jay Melody

(Intro)
Jay once again
Mmmmmmh
Nenga

(Chorus)
Aah ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hoti linawaka wuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda pu
Aah unadunda pu, pu, pu, puuh
Oh unadunda pu, pu, pu, puuh
Moyo unadunda pu, pu, pu, puuh
Ah unadunda pu, pu, pu, puuh
Ulala

(Verse 1)
Hi, wacha niseme kitu boo
Swezi kukutoa machozi maana mi sio kitunguu
Kilo siku kwetu siku kuu
Valentines sio issue kwetu si ni siku tu
Najua unapenda zawadi magifty
Na ndio maana huawork hard nikufixy
Iwe shida ya mavazi chakula na maradhi
Sometime niko radhi nijirisky
Nacho fraha hala nkikosa unaniombea kwa Mungu
Wapo waliowahi nitosa kisa sina fungu
Nakumbuka long time nimekua hard time
Kabla haujintoa kwa ukungu

(Pre-chorus)
Usha ambiwa maneno shazi
Usha ambiwa ni sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji

Usha ambiwa maneno shazi
Usha ambiwa ni sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji

(Chorus)
Aah ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hoti linawaka wuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda pu
Aah unadunda pu, pu, pu, puuh
Oh unadunda pu, pu, pu, puuh
Moyo unadunda pu, pu, pu, puuh
Ah unadunda pu, pu, pu, puuh

(Verse 2)
Cheki ulivyopinda ukivaa unapendeza
Team ishakuamini nichagua namba utayocheza
Macho kichokozi yaani kama utayocheza
Spending money for your love kwako unakonyeza
Zu zu zu zu ushanizuzua
Nshakuvisha vyeo na akuna atakaye kuvua
Nakitu usichojua
Hata akisema wanajiuza
Waambie mi ndo nae kununua

(Pre-chorus)
Usha ambiwa maneno shazi
Usha ambiwa ni sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji

Usha ambiwa maneno shazi
Usha ambiwa ni sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji

(Chorus)
Aah ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hoti linawaka wuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda pu
Aah unadunda pu, pu, pu, puuh
Oh unadunda pu, pu, pu, puuh
Moyo unadunda pu, pu, pu, puuh
Ah unadunda pu, pu, pu, puuh

(Outro)
Mmmh
Mmmh
Mmmh
Mmmh
Mmhmm
Mmmh
Mmmh
Mmmh
Mmmh
Mmhmm

More from us

📣 Do you find Musiclyfer useful? Follow us on Facebook(@musiclyfer) and stay updated.